[CONTRIBUTION] Add Support For Swahili

This commit is contained in:
MURAGEH 2022-10-23 19:21:04 +03:00 committed by MURAGEH
parent fa761d23c3
commit c5108a62c1
No known key found for this signature in database
GPG Key ID: 14183092927364FD

View File

@ -0,0 +1,99 @@
title = SpotiFlyer
about = Kuhusu
history = Historia
donate = Changia
preferences = Mapendeleo
search = Tafuta
supportedPlatforms = Mifumo inayotumika
supportDevelopment = Saidia katika uzinduzi
openProjectRepo = Fungua Repo ya Mradi
starOrForkProject = Weka Nyota / Saidia katika uzinduzi(Fork the project) pale Github.
help = Msaada
translate = Tafsiri
helpTranslateDescription = Tusaidie kutafsiri programu hii hadi lugha yako.
supportDeveloper = Tuma msaada kwa msanidi wa programu
donateDescription = kama unafikiri kwamba ninafaa kulipwa kwa kazi yangu, unaweza kunichangia hapa.
share = Eneza programu
shareDescription = Eneza programu hii kwa marafiki na familia.
whatWentWrong = Kipi kilichohribika...
copyToClipboard = Nakili kwenye ubao wa kunakili (copy to clipboard)
copyCodeInGithubIssue = Nakili kodi hii unapoanzisha Issue mpya pale Github / Kuripoti shida hii ili upate kusaidiwa.
status = Hali
analytics = Uchanganuzi
analyticsDescription = Data yako haihusishwi nawe, na kamwe haienezwi kwa washiriki wengine ila sisi.
noHistoryAvailable = Hakuna historia yoyote wakati huu
cleaningAndExiting = Usafishaji unaendelea halafu tufunge pogramu
total = Jumla
completed = Iliyokamilika
failed = Iliyofeli
exit = Funga pogramu
downloading = Upakuaji unaendelea
processing = Usindikaji unaendelea
queued = Kwenye foleni
setDownloadDirectory = Weka folda itakayopakuliwa nyimbo
downloadDirectorySetTo = Folda ya upakuaji waati huu ni: {0}
noWriteAccess = HAKUNA UWEZO WA KUNDIKA kwa: {0} , Mipangilio wa zamani itabaki
shareMessage = Hujambo, umeiona programu hii maridadi ya kupakua muziki: http://github.com/Shabinder/SpotiFlyer
grantAnalytics = Ruhusu uchnganuzi
noInternetConnection = Hakuna muunganisho wa mtandao!
checkInternetConnection = Tafadhali angalia muunganisho wako wa mtandao.
grantPermissions = Ruzuku ruhusa
requiredPermissions = Ruhusa zinzohitajika:
storagePermission = Ruhusa za hifadhi.
spotifyCreds = Hati za kitmbulisho za Spotify.
clientID = ID ya Mteja (Client ID)
clientSecret = Siri ya Mteja (Client Secret)
defaultString = Chaguo msingi
userSet = UserSet
save = Hifadhi
reset = Rudisha upya
requestAppRestart = Unafaa kuanzisha program hii upya ili mabadiliko yaonekane.
storagePermissionReason = Ili kupakua muziki unaopenda kwa simu hii.
backgroundRunning = Inaendelea chinichini.
backgroundRunningReason = Ili kupakua muziki wote chinichini bila kukatizwa na mfumo wako wa simu.
no = Hapana
yes = Ndio
acraNotificationTitle = Lo! SpotiFlyer ilijikatiza kighafla!
acraNotificationText = Tafadhali tuma ripoti ya programu kujikatika ghafla kwa wasanidi wa programu, ili jambo hili lisitukie tena.
albumArt = Sanaa ya albamu
tracks = Nyimbo
coverImage = Picha ya jalada
reSearch = Tafuta tena
loading = Tulia kidogo
downloadAll = Pakua yote
button = Kitufe
errorOccurred = Hitilafu imetokea, Angalia muunganisho wako wa mtandao.
downloadDone = Upakuaji umeisha
downloadError = Hitilafu! Hatuwezi kupakua wimbo huu
downloadStart = Anzisha upakuaji
supportUs = Tunahitaji msaada wako!
donation = Mchango
worldWideDonations = Michango kutoka duniani kote
indianDonations = Michango kutoka India pekee
dismiss = Ondoa
remindLater = Nikumbushe baadaye
mp3ConverterBusy = Kigeuzi cha MP3 haifikiki, labda kipo BUSY !
unknownError = Hitilafu isiyojulikana
noMatchFound = Hakuna mechi iliyopatikana!
noLinkFound = Hakuna kiungo yakupakua kilichopatikana
linkNotValid = Kiungo ulichoweka si halali!
featureUnImplemented = Kipengele hakijajengwa bado.
minute = dak
second = sek
spotiflyerLogo = Logo ya SpotiFlyer
backButton = Kitufe cha kurudi nyuma
infoTab = Ukurasa wa habari
historyTab = Ukurasa wa historia
linkTextBox = Sanduku la maandishi la viungo
pasteLinkHere = Bandika kiungo hapa...
enterALink = Weka kiungo!
madeWith = Imeundwa na
love = Upendo
inIndia = pale India
open = Fungua
byDeveloperName = na: Shabinder Singh